Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 6:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Akastaajahu kwa sababu ya kutokuamini kwao. Akazungukazunguka katika vile vijiji, akifundisha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Alishangaa sana kwa sababu ya kutoamini kwao. Kisha Yesu alivitembelea vijiji vya pale karibu akiwafundisha watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Alishangaa sana kwa sababu ya kutoamini kwao. Kisha Yesu alivitembelea vijiji vya pale karibu akiwafundisha watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Alishangaa sana kwa sababu ya kutoamini kwao. Kisha Yesu alivitembelea vijiji vya pale karibu akiwafundisha watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Naye akashangazwa sana kwa kutoamini kwao. Kisha Isa akawa anaenda kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Naye akashangazwa sana kwa jinsi wasivyokuwa na imani. Kisha Isa akawa anakwenda kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha.

Tazama sura Nakili




Marko 6:6
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akazunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika sunagogi zao, na kuikhubiri injili ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa killi namna katika watu.


Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.


Na Yesu alikuwa akizunguka katika miji yote na vijiji, akifundisha katika masunagogi yao, akikhubiri injili ya ufalme, akiponya magonjwa yote na dhaifu zote katika watu.


Akawa akikhubiri katika masuuagogi yao, katika inchi yote ya Galilaya, na kufukuza pepo.


AKAONDOKA huko akafika mipaka ya Yahudi kwa niia ya ngʼambu ya Yardani; watu wengi wakakutanika tena wakamwendea; akawafundisha tena kama alivyozoea.


Akawa akizungukazunguka katika miji ni vijiji, akifundisha, na kufanya safari kwenda Yerusalemi.


Akashukia Kapernaum, mji wa Galilaya, akawa akifundisha siku ya sabato:


Akawa akikhubiri katika sunagogi za Galilaya.


Yule mtu akajibu akawaambia, Neno hili ni la ajabu, kwamba ninyi hamjui atokako, nae alinifumbua macho.


khabari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na uguvu: nae akatembea huko na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Shetani; kwa maana Mungu alikuwa pamoja nae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo