Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 6:56 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

56 Na killa alikokwenda, akiingia vijijini, au mijini, au mashambani, wakawaweka wagonjwa sokoni, wakamsihi waguse walao upindo wa vazi lake: nao wote waliomgusa wakapona.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

56 Kila mahali Yesu alipokwenda, vijijini, mijini au mashambani, watu waliwaweka wagonjwa uwanjani, wakamsihi waguse walau pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

56 Kila mahali Yesu alipokwenda, vijijini, mijini au mashambani, watu waliwaweka wagonjwa uwanjani, wakamsihi waguse walau pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

56 Kila mahali Yesu alipokwenda, vijijini, mijini au mashambani, watu waliwaweka wagonjwa uwanjani, wakamsihi waguse walau pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

56 Kila mahali Isa alipoenda, iwe vijijini, mijini au mashambani, watu waliwaweka wagonjwa wao masokoni. Wakamwomba awaruhusu hao wagonjwa waguse japo upindo wa vazi lake. Nao wote waliomgusa waliponywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

56 Kila mahali Isa alipokwenda, iwe vijijini, mijini au mashambani, watu waliwaweka wagonjwa wao masokoni. Wakamwomba awaruhusu hao wagonjwa waguse japo upindo wa vazi lake. Nao wote waliomgusa waliponywa.

Tazama sura Nakili




Marko 6:56
15 Marejeleo ya Msalaba  

wakamsihi waguse hatta pindo la vazi lake; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.


Na mwanamke, aliyekuwa na ugonjwa wa kutoka damu muda wa miaka thenashara, alikuja kwa nyuma, akagusa upindo wa vazi lake:


Maana aliponya wengi, hatta wote waliokuwa na misiba wakamrukia wapate kumgusa.


wakaanza kuwachukua walio hawawezi vitandani, kwenda killa mahali waliposikia kwamba yupo.


Yesu akajibu, akasema, Acheni kadiri hii. Akamgusa sikio, akamponya.


Makutano yote wakatafuta kumgusa: kwa maana nguvu zilikuwa zikimtoka, zikawaponya wote.


akamwendea kwa nyuma, akamgusa upindo wa nguo yake, marra kukakoma kule kutoka damu kwake.


Wala hakuna wokofu katika mwingine aliye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wana Adamu litupasalo kuokolewa nalo.


Enyi wakubwa wa watu na wazee wa Israeli, kama tukiulizwa leo khabari ya yule mtu dhaifu jinsi alivyoponywa,


hatta katika njia kuu hutoa nje wagonjwa, huwaweka juu ya mifarashi na vitanda, illi, Petro akija, kivuli chake tu kimtie kivuli mmojawapo wao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo