Marko 6:54 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192154 Na wakiisha kutoka chomboni, marra watu walimtambua, wakaenda mbio, wakizunguka inchi ile yote, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema54 Walipotoka mashuani watu walimtambua Yesu mara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND54 Walipotoka mashuani watu walimtambua Yesu mara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza54 Walipotoka mashuani watu walimtambua Yesu mara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu54 Mara waliposhuka kutoka mashua yao, watu wakamtambua Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu54 Mara waliposhuka kutoka mashua yao, watu wakamtambua Isa. Tazama sura |