Marko 6:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192149 Nao walipomwoua anatembea juu ya bahari walidhani ya kuwa ni kivuli, wakapiga yowe, kwa sababu wote walimwona, wakafadhaika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe, Tazama sura |