Marko 6:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192147 Ilipokuwa jioni chombo kilikuwa kati ya bahari, na yeye peke yake katika inchi kavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Ilipokuwa jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Ilipokuwa jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Ilipokuwa jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imefika katikati ya bahari, na Isa alikuwa peke yake katika nchi kavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imefika katikati ya bahari, na Isa alikuwa peke yake katika nchi kavu. Tazama sura |