Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 6:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 Marra akawashurutisha wanafunzi wake wapande chomboni, watangulie kwenda ngʼambu hatta Betsaida wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Mara Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie kwenda Bethsaida, ngambo ya ziwa, wakati yeye anauaga umati wa watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Mara Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie kwenda Bethsaida, ngambo ya ziwa, wakati yeye anauaga umati wa watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Mara Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie kwenda Bethsaida, ng'ambo ya ziwa, wakati yeye anauaga umati wa watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Mara Isa akawaambia wanafunzi wake waingie kwenye mashua wamtangulie kwenda Bethsaida, wakati yeye alikuwa akiwaaga wale watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Mara Isa akawaambia wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda Bethsaida, wakati yeye alikuwa akiwaaga wale makutano.

Tazama sura Nakili




Marko 6:45
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wako, Korazin! Ole wako, Bethsaida! Kwa maana kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Turo na Sidon, wangalitubu zamani kwa kuvaa gunia na majivu.


Wakaenda zao chomboni, mahali pasipo watu, kwa faragha.


Wakalika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse.


Ole wako, Korazin! Ole wako Bethsaida! kwa maana kama miujiza iliyofanyika kwenu, ingalifanyika katika Turo na Sodom, wangalitubu zamani, wakiketi katika nguo za kigunia na majivu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo