Marko 6:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192143 Wakaokota vipande vilivyomegwa vya kuweza kujaza vikapu thenashara: navyo vipande vya samaki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Nao wanafunzi wake wakakusanya vipande vilivyosalia vya mikate na samaki, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Nao wanafunzi wake wakakusanya vipande vilivyosalia vya mikate na samaki, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama sura |