Marko 6:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192140 Wakaketi kwa safu, nyingine mia, nyingine khamsimi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 nao wakaketi kwenye vikundi vya watu mia mia, na wengine hamsini hamsini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 nao wakaketi kwenye makundi ya watu mia mia na wengine hamsini hamsini. Tazama sura |