Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 6:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, illa katika inchi yake, na kwa jamaa zake, na katika nyumba yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika nchi yake, kwa jamaa zake na nyumbani mwake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika nchi yake, kwa jamaa zake na nyumbani mwake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika nchi yake, kwa jamaa zake na nyumbani mwake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Isa akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika mji wake mwenyewe, na miongoni mwa jamaa na ndugu zake, na nyumbani mwake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Isa akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika mji wake mwenyewe, na miongoni mwa jamaa na ndugu zake, na nyumbani kwake.”

Tazama sura Nakili




Marko 6:4
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakachukizwa nae. Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika inchi yake mwenyewe, na nyumbani mwake mwenyewe.


AKATOKA huko, akafika hatta inchi ya kwao: wanafunzi wake wakamfuata.


Akawaambia, Amin, nawaambieni, Hapana nabii apatae kukubaliwa katika inchi yake mwenyewe.


Kwa maana Yesu mwenyewe alishuhudu ya kwamba nabii hana heshima katika inchi yake mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo