Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 6:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Akawaambia, Mikale mingapi mnayo? Enendeni mkatazame. Walipokwisha kujua wakanena, Mitano, na samaki mbili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi? Nendeni kutazama.” Walipokwisha tazama, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi? Nendeni kutazama.” Walipokwisha tazama, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi? Nendeni kutazama.” Walipokwisha tazama, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Akawauliza, “Kuna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.” Walipokwisha kujua, wakarudi, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Akawauliza, “Kuna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.” Walipokwisha kujua wakarudi, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”

Tazama sura Nakili




Marko 6:38
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Mikate mingapi mnayo? Wakasema, Saba, na visamaki vichache.


Akajibu, akawaambia, Wapeni ninyi chakula: Wakamwambia, Je! twende zetu tukanunue mikate ya dinari miateen tukawape kula?


Akawaagiza wawaketishe wote, vikao vikao, penye majani mabiehi.


Akawauliza, Mikate mingapi mnayo? Wakasenia, Saba.


Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki mbili, tusipokwenda sisi wenyewe tukawannnulie vyakula watu hawa wote.


Yupo mtoto hapa, ana mikate mitano ya shayiri na samaki wawili, lakini haya nini kwa watu wengi kama hivi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo