Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 6:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Akajibu, akawaambia, Wapeni ninyi chakula: Wakamwambia, Je! twende zetu tukanunue mikate ya dinari miateen tukawape kula?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Lakini Yesu akawaambia, “Wapeni nyinyi chakula.” Nao wakamwuliza, “Je, twende kununua mikate kwa fedha dinari 200, na kuwapa chakula?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Lakini Yesu akawaambia, “Wapeni nyinyi chakula.” Nao wakamwuliza, “Je, twende kununua mikate kwa fedha dinari 200, na kuwapa chakula?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Lakini Yesu akawaambia, “Wapeni nyinyi chakula.” Nao wakamwuliza, “Je, twende kununua mikate kwa fedha dinari 200, na kuwapa chakula?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Lakini Isa akawajibu, “Ninyi wapeni chakula.” Wakamwambia, “Je, twende tukanunue mikate ya dinari mia mbili ili tuwape watu hawa wale?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Lakini Isa akawajibu, “Ninyi wapeni chakula.” Wakamwambia, “Je, twende tukanunue mikate ya dinari 200 ili tuwape watu hawa wale?”

Tazama sura Nakili




Marko 6:37
13 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Hawana haja kwenda zao, wapeni ninyi kula.


Mtumishi yule akatoka, akamwona mmoja wa wajoli wake, aliyewiwa nae dinari mia; akamkamata, akamshika koo, akinena, Nilipe uwiwacho.


uwaage watu hawa, illi waende zao mashambani na vijijini huko na huko, wakajinunulie chakula.


Akawaambia, Mikale mingapi mnayo? Enendeni mkatazame. Walipokwisha kujua wakanena, Mitano, na samaki mbili.


Mtu mmoja mkopeshaji alikuwa na wadeni wawili: mmoja aliwiwa nae dinari khamsi mia, na wa pili khamsini.


Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki mbili, tusipokwenda sisi wenyewe tukawannnulie vyakula watu hawa wote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo