Marko 6:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192136 uwaage watu hawa, illi waende zao mashambani na vijijini huko na huko, wakajinunulie chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.” Tazama sura |