Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 6:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Hatta zikapita saa nyingi za mchana, ikawa karibu na magharibi, wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Mahali hapa nyika tupu, na sasa kunakuchwa;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Saa za mchana zilikwisha pita. Basi, wanafunzi wakamwendea Yesu, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, na sasa kunakuchwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Saa za mchana zilikwisha pita. Basi, wanafunzi wakamwendea Yesu, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, na sasa kunakuchwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Saa za mchana zilikwisha pita. Basi, wanafunzi wakamwendea Yesu, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, na sasa kunakuchwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Mchana ulipokuwa umeendelea sana, wanafunzi wake walienda kwake, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, nazo saa zimeenda sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Mchana ulipokuwa umeendelea sana, wanafunzi wake walienda kwake, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, nazo saa zimekwenda sana.

Tazama sura Nakili

Marko 6:35
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliposikia, akatoka huku katika chombo, akaenda mahali pasipo watu, kwa faragha. Na makutano waliposikia, wakamfuata kwa miguu toka miji yao.

Yesu aliposhuka chomboni, akaona makutano mengi, akawahurumia, kwa sababu walikuwa kana kondoo wasio mchunga; akaanza kuwafundisha mengi.

uwaage watu hawa, illi waende zao mashambani na vijijini huko na huko, wakajinunulie chakula.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo