Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 6:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Yesu aliposhuka chomboni, akaona makutano mengi, akawahurumia, kwa sababu walikuwa kana kondoo wasio mchunga; akaanza kuwafundisha mengi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Aliposhuka pwani, Yesu aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, kwa sababu walikuwa kama kondoo wasio na mchungaji. Akaanza kuwafundisha mambo mengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Aliposhuka pwani, Yesu aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, kwa sababu walikuwa kama kondoo wasio na mchungaji. Akaanza kuwafundisha mambo mengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Aliposhuka pwani, Yesu aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, kwa sababu walikuwa kama kondoo wasio na mchungaji. Akaanza kuwafundisha mambo mengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Isa alipofika kando ya bahari, aliona kundi kubwa la watu, akawahurumia kwa maana walikuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji. Kwa hiyo akaanza kuwafundisha mambo mengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Isa alipofika kando ya bahari, aliona makutano makubwa ya watu, akawahurumia kwa maana walikuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji. Kwa hiyo akaanza kuwafundisha mambo mengi.

Tazama sura Nakili




Marko 6:34
19 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akatoka, akaona makutano mengi, akawahurumia, akawaponya wagonjwa wao.


Yesu akawaita wanafunzi wake, akasema, Nawahurumia makutano, kwa kuwa yapata siku tatu wamekaa pamoja nami, hawana kitu cha kula: na kuwaaga wakifunga sitaki, wasije wakazimia njiani.


Na alipowaona makutano, akawahurumia, kwa maana walikuwa wamechoka na kutawanyika kama kondoo wasio na mchunga.


Watu wakawaona wakienda zao, wengi wakamtambua, wakaenda huko mbio, toka miji yote, wakatanguha kufika, wakakusanyika mbele yake.


Hatta zikapita saa nyingi za mchana, ikawa karibu na magharibi, wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Mahali hapa nyika tupu, na sasa kunakuchwa;


TENA siku zile, kwa kuwa mengi mno makutano, nao hawana kitu cha kula, Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia,


Nawahurumia makutano kwa sababu yapata siku tatu wamekaa nami, wala hawana kitu cha kula:


Namakutano walipojua wakamfuata: akawakaribisha, akanena nao khabari za ufalme wa Mungu, akawaponya waliokuwa na haja ya kuponywa.


Kwa hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, illi afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.


Kwa kuwa hatuna kuhani mkuu asiyeweza kuyachukua mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijuribiwa sawa sawa na sisi katika mambo yote, bila dhambi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo