Marko 6:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192133 Watu wakawaona wakienda zao, wengi wakamtambua, wakaenda huko mbio, toka miji yote, wakatanguha kufika, wakakusanyika mbele yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Lakini watu wengi waliwaona wakienda, wakawatambua. Hivyo wengi wakatoka katika kila mji, wakakimbilia huko Yesu na wanafunzi wake walikokuwa wanakwenda, wakawatangulia kufika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Lakini watu wengi waliwaona wakienda, wakawatambua. Hivyo wengi wakatoka katika kila mji, wakakimbilia huko Yesu na wanafunzi wake walikokuwa wanakwenda, wakawatangulia kufika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Lakini watu wengi waliwaona wakienda, wakawatambua. Hivyo wengi wakatoka katika kila mji, wakakimbilia huko Yesu na wanafunzi wake walikokuwa wanakwenda, wakawatangulia kufika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Lakini watu wengi waliowaona wakiondoka, wakawatambua, nao wakaenda haraka kwa miguu kutoka miji yote, nao wakatangulia kufika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Lakini watu wengi waliowaona wakiondoka, wakawatambua, nao wakaenda haraka kwa miguu kutoka miji yote, nao wakatangulia kufika. Tazama sura |