Marko 6:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192132 Wakaenda zao chomboni, mahali pasipo watu, kwa faragha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao, wakaenda mahali pasipo na watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao, wakaenda mahali pasipo na watu. Tazama sura |