Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 6:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa khabari za mambo yote waliyoyafanya na mambo yote waliyoyafundisha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Wale mitume walirudi, wakakusanyika mbele ya Yesu, wakamwarifu yote waliyotenda na kufundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Wale mitume walirudi, wakakusanyika mbele ya Yesu, wakamwarifu yote waliyotenda na kufundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Wale mitume walirudi, wakakusanyika mbele ya Yesu, wakamwarifu yote waliyotenda na kufundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Wale mitume wakakusanyika kwa Isa na kumpa taarifa ya mambo yote waliyokuwa wamefanya na kufundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Wale mitume wakakusanyika kwa Isa na kumpa taarifa ya mambo yote waliyokuwa wamefanya na kufundisha.

Tazama sura Nakili




Marko 6:30
17 Marejeleo ya Msalaba  

Na majina ya mitume thenashara ni haya: Wa kwanza Simon aliyekwitwa Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake;


Akaweka thenashara, wapate kuwa pamoja nae, na kusudi awatume kukhubiri,


Wauafunzi wake waliposikia khabari, wakaenda, wakachukua mayiti yake, wakamzika.


Wale sabaini wakarudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hatta pepo wanatutii kwa jina lako.


Mitume wakamwambia, Bwana, utuongezee imani yetu.


Bassi saa ilipowadia, akaketi, na mitume pamoja nae.


Na hao waliowaambia mitume mambo haya ni Mariamu Magdalene, na Yoanna, na Mariamu mama yake Yakobo na wengine waliokuwa pamoja nao.


Ulipokuwa mchana akawaita wanafunzi wake: akachagua watu thenashara miongoni mwao, ambao aliwaita mitume.


Wale mitume waliporudi wakamweleza mambo yote waliyoyatenda; akawachukua, akaenda zake kwa faragha mahali pasipo watu, karibu na mji uitwao Bethsaida.


Wakawapigia kura: kura ikamtoa Mattiya; akachaguliwa kuwa pamoja na mitume edashara.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo