Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 6:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Wauafunzi wake waliposikia khabari, wakaenda, wakachukua mayiti yake, wakamzika.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Wanafunzi wa Yahya walipopata habari hizi, wakaja na kuuchukua mwili wake, wakauzika kaburini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Wanafunzi wa Yahya walipopata habari hizi, wakaja na kuuchukua mwili wake, wakauzika kaburini.

Tazama sura Nakili

Marko 6:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wanafunzi wake wakaenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika; wakaenda wakampasha Yesu khabari.

Akaenenda, akamkata kichwa mle gerezani, akaleta kichwa chake katika kombe, akampa yule kijana, yule kijana akampa mama yake.

Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa khabari za mambo yote waliyoyafanya na mambo yote waliyoyafundisha.

Watu watawa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo mengi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo