Marko 6:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Akaenenda, akamkata kichwa mle gerezani, akaleta kichwa chake katika kombe, akampa yule kijana, yule kijana akampa mama yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 akakileta katika sinia, akampa msichana naye msichana akampa mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 akakileta katika sinia, akampa msichana naye msichana akampa mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 akakileta katika sinia, akampa msichana naye msichana akampa mama yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 akakileta kichwa chake kwenye sinia na kumpa yule msichana, naye yule msichana akampa mama yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 akakileta kichwa chake kwenye sinia na kumpa yule msichana, naye yule msichana akampa mama yake. Tazama sura |