Marko 6:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 Marra mfalme akatuma askari, akiamuru kuleta kichwa chake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Basi, mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari akaenda, akamkata kichwa Yohane mle gerezani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Basi, mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari akaenda, akamkata kichwa Yohane mle gerezani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Basi, mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari akaenda, akamkata kichwa Yohane mle gerezani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Mara mfalme akatuma askari mmoja wa walinzi wake kukileta kichwa cha Yahya. Akaenda na kumkata Yahya kichwa humo gerezani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Mara mfalme akatuma askari mmojawapo wa walinzi wake kukileta kichwa cha Yahya. Akaenda na kumkata Yahya kichwa humo gerezani, Tazama sura |