Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 6:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Marra akaingia kwa haraka mbele ya mfalme akaomba akinena, Nataka unipe sasa hivi katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Msichana akamrudia mfalme mbio akamwomba, “Nataka unipe sasa hivi katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Msichana akamrudia mfalme mbio akamwomba, “Nataka unipe sasa hivi katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Msichana akamrudia mfalme mbio akamwomba, “Nataka unipe sasa hivi katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Yule binti akarudi haraka kwa mfalme, akamwambia, “Nataka unipe sasa hivi kichwa cha Yahya kwenye sinia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Yule binti akarudi haraka kwa mfalme, akamwambia, “Nataka unipe sasa hivi kichwa cha Yahya kwenye sinia.”

Tazama sura Nakili

Marko 6:25
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nae, akishawishwa na mama yake, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.

SIKU zile akaondokea Yohana Mbatizaji akikhubiri katika jangwa ya Yahudi, akinena,

Akatoka, akamwambia mama yake, Niombe nini? Akasema, Kichwa cha Yohana Mbatizaji.

Mfalme akafanya huzuni sana, lakini kwa ajili ya nyapo zake, na kwa ajili yao walioketi karamuni, hakutaka kumkataa.

Miguu yao ina mbio kumwaga damu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo