Marko 6:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Akamwambia, Lo lote utakaloniomba, nitakupa hatta nussu ya ufalme wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa; hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa; hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa; hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Tena akamwahidi kwa kiapo, akamwambia, “Chochote utakachoomba nitakupa, hata kama ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Tena akamwahidi kwa kiapo, akamwambia, “Chochote utakachoomba nitakupa, hata kama ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama sura |