Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 6:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Maana Herode alimwogopa Yohana: hatta akimjua kuwa ni mtu wa haki, mtakatifu, akamhami, na alipokwisha kumsikiliza alifanya mambo mengi: nae alikuwa akimsikiliza kwa furaha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Herode alimwogopa Yohane kwa maana alijua kwamba yeye ni mtu mwema na mtakatifu, na hivyo akamlinda. Herode alipenda kumsikiliza Yohane, ingawaje baada ya kumsikiliza, alifadhaika sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Herode alimwogopa Yohane kwa maana alijua kwamba yeye ni mtu mwema na mtakatifu, na hivyo akamlinda. Herode alipenda kumsikiliza Yohane, ingawaje baada ya kumsikiliza, alifadhaika sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Herode alimwogopa Yohane kwa maana alijua kwamba yeye ni mtu mwema na mtakatifu, na hivyo akamlinda. Herode alipenda kumsikiliza Yohane, ingawaje baada ya kumsikiliza, alifadhaika sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 kwa sababu Herode alimwogopa Yahya akijua kwamba ni mtu mwenye haki na mtakatifu, hivyo akamlinda. Herode alifadhaika sana alipomsikia Yohana, lakini bado alipenda kumsikiliza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 kwa sababu Herode alimwogopa Yahya akijua kwamba ni mtu mwenye haki na mtakatifu, hivyo akamlinda. Herode alifadhaika sana alipomsikia Yahya, lakini bado alipenda kumsikiliza.

Tazama sura Nakili

Marko 6:20
21 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona kuwa nabii.

Na tukisema, Kwa wana Adamu; twaogopa makutano; maana watu wote wanaona ya kuwa Yohana ni nabii.

Waandishi na makuhani wakini wakapata khabari wakatafuta jinsi ya kumwangamiza: maami walimwogopa, kwa sababu makutano yote walishangaa kwa elimu yake.

Kadhalika na hawa ndio wapandwao penye mwamba, ambao kwamba wakiisha kulisikia lile neno, marra hulipokea kwa furaha;

Yeye alikuwa taa iwakayo na kuangaza, na ninyi mlipenda kuishangilia nuru yake kitambo.

Wakashangaa wote wakaingiwa na mashaka, wakaambiana, Maana yake nini mambo haya?

Kuhani mkuu na jemadari wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia haya, wakaingiwa na mashaka kwa ajili yao, yatakuwaje mambo hayo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo