Marko 6:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Bassi yule Herodias akawa akimvizia, akataka kumwua, asipate. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, Herodia alimchukia sana Yohane, akataka kumuua, asiweze. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, Herodia alimchukia sana Yohane, akataka kumuua, asiweze. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, Herodia alimchukia sana Yohane, akataka kumuua, asiweze. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kwa hiyo Herodia alikuwa amemwekea Yahya kinyongo, akataka kumuua. Lakini hakuweza, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwa hiyo Herodia alikuwa amemwekea Yahya kinyongo akataka kumuua. Lakini hakuweza, Tazama sura |