Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 6:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 AKATOKA huko, akafika hatta inchi ya kwao: wanafunzi wake wakamfuata.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Isa akaondoka huko na kwenda mji wa kwao, akiandamana na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Isa akaondoka huko na kwenda mji wa kwao, akiwa amefuatana na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili




Marko 6:1
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokuwa akipanda, nyingine zikaanguka njiani, ndege wakaja wakazila:


akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.


Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, illa katika inchi yake, na kwa jamaa zake, na katika nyumba yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo