Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 5:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Akamwambia, Jina lako nani? Akajibu, akamwambia, Jina langu Legioni: kwa kuwa tu wengi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Naye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi,’ maana sisi tu wengi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Naye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi,’ maana sisi tu wengi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Naye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi,’ maana sisi tu wengi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Isa akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tuko wengi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Isa akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tuko wengi.”

Tazama sura Nakili

Marko 5:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Marra huenda, akachukua pamoja nae pepo wengine saba walio waovu kupita nafsi yake, nao huingia na kukaa humo; na mambo, ya mwisho ya mtu yule huwa mabaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kiovu.

Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu sasa hivi, akaniletea zaidi ya majeshi thenashara ya malaika?

Akamsihi sana asiwapeleke nje ya incbi ile.

Wakamwendea Yesu, wakamwona yule mwenye pepo, ameketi, amevaa nguo, ana akili zake, nae ndiye aliyekuwa na ile legione; wakaogopa.

Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu.

Yesu akamwuliza, akisema, Jina lako nani? Akasema, Legioni, kwa sababu pepo wengi wamemwingia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo