Marko 5:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Alipomwona Yesu kwa mbali, akampiga mbio, akamsujudia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akamwinamia Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akamwinamia Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akamwinamia Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Alipomwona Isa kwa mbali, alimkimbilia, akapiga magoti mbele yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Alipomwona Isa kwa mbali, alimkimbilia, akapiga magoti mbele yake. Tazama sura |