Marko 5:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Na siku zote, usiku na mchana, alikuwa makaburini na milimani, akilia na kujikata kwa mawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mchana na usiku alikaa makaburini na milimani akipaza sauti na kujikatakata kwa mawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mchana na usiku alikaa makaburini na milimani akipaza sauti na kujikatakata kwa mawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mchana na usiku alikaa makaburini na milimani akipaza sauti na kujikatakata kwa mawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Usiku na mchana alikuwa makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikatakata kwa mawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Usiku na mchana alikuwa makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikatakata kwa mawe. Tazama sura |