Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Marra akasimama yule kijana, akaenda; maana alikuwa amepata miaka thenashara. Wakashangaa mshangao mwingi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Mara msichana akasimama, akaanza kutembea. (Alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili.) Hapo watu wakashangaa kupita kiasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Mara msichana akasimama, akaanza kutembea. (Alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili.) Hapo watu wakashangaa kupita kiasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Mara msichana akasimama, akaanza kutembea. (Alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili.) Hapo watu wakashangaa kupita kiasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Mara yule msichana akasimama, akaanza kutembea (alikuwa na umri wa miaka kumi na mbili). Walipoona haya, wakastaajabu sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Mara yule msichana akasimama, akaanza kutembea (alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili). Walipoona haya, wakastaajabu sana.

Tazama sura Nakili




Marko 5:42
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wakashangaa wote hatta wakaulizana, wakinena, Nini hii? Elimu hii mpya ni elimn gani? Maana kwa mamlaka awaamuru pepo wachafu nao wakamtii!


Wakaingizwa na khofu kuu, wakaambiana, Ni nani huyu, bassi, hatta upepo na bahari zamtii?


Akamshika mkono yule kijana, akamwambla, Talitha, kumi: tafsiri yake, Kijana, nakuambia, Ondoka.


Akawaagiza sana, mtu asijue khabari ile; akaamuru apewe chakula.


Akapanda mle cbomboni walimo; npepo ukakoma; wakashangaa sana, kupita kiasi, wakastaajabu;


Ametenda yote vizuri; viziwi awafanya wasikie, na bubu waseme.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo