Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

41 Akamshika mkono yule kijana, akamwambla, Talitha, kumi: tafsiri yake, Kijana, nakuambia, Ondoka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Kisha akamshika mkono, akamwambia, “Talitha, kumi,” maana yake, “Msichana, nakuambia, amka!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Kisha akamshika mkono, akamwambia, “Talitha, kumi,” maana yake, “Msichana, nakuambia, amka!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Kisha akamshika mkono, akamwambia, “Talitha, kumi,” maana yake, “Msichana, nakuambia, amka!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Akamshika mtoto mkono, akamwambia, “Talitha koum!” (maana yake, “Msichana, nakuambia: amka!”)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Akamshika mtoto mkono, akamwambia, “Talitha koum!” (maana yake ni, “Msichana, nakuambia: amka!”)

Tazama sura Nakili




Marko 5:41
13 Marejeleo ya Msalaba  

marra wakamwambia khahari zake: akamkaribia, akamwinua kwa kumshika mkono, homa ikamwacha, akawakhudumia.


Yesu akamhurumia, akanyosha mkono wake, akamgusa, akamwambia, Nataka, takasika.


Nae alipokwisha kuwatoa nje wote, akamtwaa baba yake yule mtoto na mama yake, na wale walio pamoja nae, akaingia ndani alimokuwamo yule mtoto.


Marra akasimama yule kijana, akaenda; maana alikuwa amepata miaka thenashara. Wakashangaa mshangao mwingi.


(kama ilivyoandikwa, Nimekuweka kuwa baba wa mataifa mengi) mbele zake aliyemwamini, yaani Mungu, mwenye kuwahuisha wafu, avitajae vitu visivyokuwa kana kwamba vimekuwa.


atakaeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule awezao kuvitiisha hatta na vitu vyote chini yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo