Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 5:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 kwa sababu alikuwa amefungwa marra nyingi kwa pingu na minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunjavunja zile pingu; wala hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Mara nyingi walimfunga kwa pingu na minyororo lakini kila mara aliweza kuikata hiyo minyororo na kuzivunja hizo pingu, wala hakuna mtu aliyeweza kumzuia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Mara nyingi walimfunga kwa pingu na minyororo lakini kila mara aliweza kuikata hiyo minyororo na kuzivunja hizo pingu, wala hakuna mtu aliyeweza kumzuia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Mara nyingi walimfunga kwa pingu na minyororo lakini kila mara aliweza kuikata hiyo minyororo na kuzivunja hizo pingu, wala hakuna mtu aliyeweza kumzuia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kwa kuwa mara kwa mara alikuwa amefungwa minyororo mikononi na miguuni, lakini akaikata hiyo minyororo na kuzivunja zile pingu miguuni mwake. Hapakuwa na mtu yeyote aliyekuwa na nguvu za kumzuia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kwa kuwa mara kwa mara alikuwa amefungwa minyororo mikononi na miguuni, lakini akaikata hiyo minyororo na kuzivunja zile pingu miguuni mwake. Hapakuwa na mtu yeyote aliyekuwa na nguvu za kumzuia.

Tazama sura Nakili

Marko 5:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

wala hakuna mtu aliyeweza kumfunga, hatta kwa minyororo:

Na siku zote, usiku na mchana, alikuwa makaburini na milimani, akilia na kujikata kwa mawe.

Kwa sababu amemwamuru yule pepo mchafu kumtoka mtu yule. Maana marra nyingi amempagaa, nae akafungwa, akilindwa, na kufungwa minyororo na pingu, akavikata vile vifungo, akafukuzwa na yule pepo hatta jangwani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo