Marko 5:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192139 Alipokwisha kuingia, akawaambia, Mbona mnafanya ghasia na kulia? Mtoto hakufa, bali amelala tu. Wakamcheka sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Akaingia ndani, akawaambia, “Mbona mnapiga kelele na kulia? Msichana hakufa, amelala tu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Akaingia ndani, akawaambia, “Mbona mnapiga kelele na kulia? Msichana hakufa, amelala tu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Akaingia ndani, akawaambia, “Mbona mnapiga kelele na kulia? Msichana hakufa, amelala tu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Alipokwisha kuingia ndani, akawaambia, “Kwa nini mnafanya ghasia na kulia? Mtoto hajafa, bali amelala tu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Alipokwisha kuingia ndani, akawaambia, “Kwa nini mnafanya ghasia na kulia? Mtoto hajafa, bali amelala tu.” Tazama sura |