Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Wakafika nyumbani kwa yule mkuu wa sunagogi, akaona ghasia, na watu wakilia, wakifanya maombolezo mengi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Wakafika nyumbani kwa ofisa wa sunagogi naye Yesu akasikia makelele, kilio na maombolezo mengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Wakafika nyumbani kwa ofisa wa sunagogi naye Yesu akasikia makelele, kilio na maombolezo mengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Wakafika nyumbani kwa ofisa wa sunagogi naye Yesu akasikia makelele, kilio na maombolezo mengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Walipofika nyumbani mwa yule kiongozi wa sinagogi, Isa akaona ghasia, watu wakilia na kuomboleza kwa sauti kubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Walipofika nyumbani kwa yule kiongozi wa sinagogi, Isa akaona ghasia, watu wakilia na kuomboleza kwa sauti kubwa.

Tazama sura Nakili




Marko 5:38
8 Marejeleo ya Msalaba  

wakinena, Twaliwapigia filimbi, wala hamkucheza; twaliomboleza, wala hamkulia.


Alipokuwa akiwaambia haya, yuaja jumbe mmoja, akamsujudia, akinena, Binti yangu udio kwanza afe: lakini njoo, uweke mkono wako juu yake, uae atapona.


Kumbe! akaja mtu mmoja katika wakuu wa sunagogi, jina lake Yairo: hatta alipomwona, akaanguka miguuni pake,


Alipokwisha kuingia, akawaambia, Mbona mnafanya ghasia na kulia? Mtoto hakufa, bali amelala tu. Wakamcheka sana.


Petro akaondoka akafuatana nao. Alipofika wakampeleka juu orofani: wajane wote wakasimama karibu nae, wakilia na kuniwonyesha zile kanzu na nguo alizozifanya Paa wakati ule alipokuwa pamoja nao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo