Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 5:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Na yule mwanamke akaingiwa na khofu na kutetemeka, akijua lililompata, akaja akamwangukia, akamweleza kweli yote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Hapo huyo mwanamke, akifahamu yaliyompata, akajitokeza akitetemeka kwa hofu, akajitupa chini mbele ya Yesu na kusema ukweli wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Hapo huyo mwanamke, akifahamu yaliyompata, akajitokeza akitetemeka kwa hofu, akajitupa chini mbele ya Yesu na kusema ukweli wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Hapo huyo mwanamke, akifahamu yaliyompata, akajitokeza akitetemeka kwa hofu, akajitupa chini mbele ya Yesu na kusema ukweli wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Yule mwanamke, akijua kilichomtokea, akaja, akaanguka miguuni pake akitetemeka kwa hofu, akamweleza ukweli wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Yule mwanamke, akijua kilichomtokea, akaja, akaanguka miguuni pake akitetemeka kwa hofu, akamweleza ukweli wote.

Tazama sura Nakili

Marko 5:33
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaingizwa na khofu kuu, wakaambiana, Ni nani huyu, bassi, hatta upepo na bahari zamtii?

Akatazama pande zote illi amwone yule aliyelitenda neno hili.

Akamwambia, Binti imani yako imekuponya, enenda zako kwa amani, ukawe mzima, usiwe na msiba wako tena.

Zakaria akafadhaika alipomwona, khofu ikamwingia.

Nae akafadhaika kwa khabari ya neno hili, akawaza moyoni mwake, Hii ni salamu gani?

Yule mwanamke alipoona ya kuwa hakustirika, akaja akitetemeka, akamwangukia, akamweleza mbele ya watu wote sababu hatta akamgusa, na jinsi alivyoponywa marra moja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo