Marko 5:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192132 Akatazama pande zote illi amwone yule aliyelitenda neno hili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Lakini Isa akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Lakini Isa akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa. Tazama sura |