Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Wanafunzi wake wakamwambia, Wawaona makutano wanavyokusongasonga, nawe wanena, Ni nani aliyenigusa?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Wanafunzi wake wakamjibu, “Unaona jinsi watu wanavyokusonga; mbona unauliza nani aliyekugusa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Wanafunzi wake wakamjibu, “Unaona jinsi watu wanavyokusonga; mbona unauliza nani aliyekugusa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Wanafunzi wake wakamjibu, “Unaona jinsi watu wanavyokusonga; mbona unauliza nani aliyekugusa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Wanafunzi wake wakamjibu, “Unaona jinsi watu wanavyokusonga. Wawezaje kuuliza, ‘Ni nani aliyenigusa?’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Wanafunzi wake wakamjibu, “Unaona jinsi umati wa watu unavyokusonga. Wawezaje kuuliza, ‘Ni nani aliyenigusa?’ ”

Tazama sura Nakili




Marko 5:31
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akaenda pamoja nae: makutano mengi wakamfuata, wakimsongasonga.


Marra Yesu akifahamu nafsini mwake kwamba nguvu zimemtoka, akageuka kati ya makutano, akanena, Ni nani aliyenigusa mavazi yangu?


Akatazama pande zote illi amwone yule aliyelitenda neno hili.


Yesu akasema, Ni nani aliyenigusa? Bassi watu wote walipokana, Petro nao walio pamoja nae wakamwambia, Bwana, Makutano wanakuzunguka na kukusonga, nawe unasema, Ni nani aliyenigusa?


Hatta jua lilipoanza kuchwa wale thenashara wakamwendea wakamwambia, Uwaage makutano illi waende zao hatta vijiji vilivyo kandokando na mashamba wakapate mahali pa kulala na vyakula: maana hapa tulipo nyika tupu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo