Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Marra Yesu akifahamu nafsini mwake kwamba nguvu zimemtoka, akageuka kati ya makutano, akanena, Ni nani aliyenigusa mavazi yangu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Yesu alitambua mara kwamba nguvu imemtoka. Basi akaugeukia ule umati wa watu, akauliza, “Nani aliyegusa mavazi yangu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Yesu alitambua mara kwamba nguvu imemtoka. Basi akaugeukia ule umati wa watu, akauliza, “Nani aliyegusa mavazi yangu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Yesu alitambua mara kwamba nguvu imemtoka. Basi akaugeukia ule umati wa watu, akauliza, “Nani aliyegusa mavazi yangu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Ghafula Isa akatambua kuwa nguvu zimemtoka. Akageukia umati wa watu na kuuliza, “Ni nani aliyegusa mavazi yangu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Ghafula Isa akatambua kuwa nguvu zimemtoka. Akaugeukia ule umati wa watu na kuuliza, “Ni nani aliyegusa mavazi yangu?”

Tazama sura Nakili




Marko 5:30
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wanafunzi wake wakamwambia, Wawaona makutano wanavyokusongasonga, nawe wanena, Ni nani aliyenigusa?


Hatta siku moja ya siku zile alikuwa akifundisha, na Mafarisayo na waandishi wameketi, waliokuwa wametoka katika killa kijiji cha Galilaya, na cha Yahudi, na Yerusalemi; uweza wa Bwana ulikuwa pamoja nae apate kuwaponya.


Makutano yote wakatafuta kumgusa: kwa maana nguvu zilikuwa zikimtoka, zikawaponya wote.


Yesu akasema, Mtu alinigusa, kwa kuwa naliona nguvu zimenitoka.


Bali ninyi m mzao mteule, ukubani wa kifaume, taifa takatifu, watu wa milki, mpate kutangaza fadhili zake aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo