Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 5:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 wala hakuna mtu aliyeweza kumfunga, hatta kwa minyororo:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Mtu huyo alikuwa akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga kwa minyororo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Mtu huyo alikuwa akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga kwa minyororo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Mtu huyo alikuwa akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga kwa minyororo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Mtu huyu aliishi makaburini, wala hakuna aliyeweza kumzuia hata kwa kumfunga minyororo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Mtu huyu aliishi makaburini, wala hakuna aliyeweza kumzuia hata kwa kumfunga minyororo.

Tazama sura Nakili

Marko 5:3
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipokwisha kushuka chomboni, marra akakutwa na mtu ambae ametoka makaburini, nae ana pepo mchafu, makao yake yalikuwa pale makaburini:

kwa sababu alikuwa amefungwa marra nyingi kwa pingu na minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunjavunja zile pingu; wala hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda.

Kwa sababu amemwamuru yule pepo mchafu kumtoka mtu yule. Maana marra nyingi amempagaa, nae akafungwa, akilindwa, na kufungwa minyororo na pingu, akavikata vile vifungo, akafukuzwa na yule pepo hatta jangwani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo