Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 maana alinena, Nikiyagusa mavazi yake tu, nitapona.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Alifanya hivyo, maana alijisemea, “Nikigusa tu vazi lake, nitapona.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Alifanya hivyo, maana alijisemea, “Nikigusa tu vazi lake, nitapona.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Alifanya hivyo, maana alijisemea, “Nikigusa tu vazi lake, nitapona.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 kwa maana alisema moyoni mwake, “Nikiligusa vazi lake tu, nitaponywa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 kwa maana alisema moyoni mwake, “Kama nikiweza kuligusa vazi lake tu, nitaponywa.”

Tazama sura Nakili




Marko 5:28
2 Marejeleo ya Msalaba  

bassi aliposikia khabari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake;


Marra chemchemi ya damu yake ikakauka, akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo