Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 5:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 bassi aliposikia khabari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Alikuwa amesikia habari za Isa, naye akaja kwa nyuma yake kwenye umati wa watu, akaligusa vazi lake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Alikuwa amesikia habari za Isa, naye akaja kwa nyuma yake kwenye umati wa watu, akaligusa vazi lake,

Tazama sura Nakili

Marko 5:27
7 Marejeleo ya Msalaba  

wakamsihi waguse hatta pindo la vazi lake; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.

na kuteswa mengi kwa mikono ya tabibu wengi, akagharimu vitu vyote alivyo navyo, kusimfae hatta kidogo, bali hali yake ilizidi kuwa mbaya,

maana alinena, Nikiyagusa mavazi yake tu, nitapona.

Na killa alikokwenda, akiingia vijijini, au mijini, au mashambani, wakawaweka wagonjwa sokoni, wakamsihi waguse walao upindo wa vazi lake: nao wote waliomgusa wakapona.

hatta wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizogusa mwili wake, magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka.

hatta katika njia kuu hutoa nje wagonjwa, huwaweka juu ya mifarashi na vitanda, illi, Petro akija, kivuli chake tu kimtie kivuli mmojawapo wao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo