Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 5:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 na kuteswa mengi kwa mikono ya tabibu wengi, akagharimu vitu vyote alivyo navyo, kusimfae hatta kidogo, bali hali yake ilizidi kuwa mbaya,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Mwanamke huyo alikuwa amekwisha sumbuka sana kuwaendea waganga wengi. Na ingawa alikuwa amekwisha tumia mali yake yote, hakupata nafuu bali hali yake ilizidi kuwa mbaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Mwanamke huyo alikuwa amekwisha sumbuka sana kuwaendea waganga wengi. Na ingawa alikuwa amekwisha tumia mali yake yote, hakupata nafuu bali hali yake ilizidi kuwa mbaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Mwanamke huyo alikuwa amekwisha sumbuka sana kuwaendea waganga wengi. Na ingawa alikuwa amekwisha tumia mali yake yote, hakupata nafuu bali hali yake ilizidi kuwa mbaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Mwanamke huyu alikuwa ameteseka sana kwa mikono ya matabibu wengi, na kutumia kila kitu alichokuwa nacho. Lakini badala ya kupona, hali yake ilizidi kuwa mbaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Mwanamke huyu alikuwa ameteseka sana kwa mikono ya matabibu wengi, na kutumia kila kitu alichokuwa nacho. Lakini badala ya kupona, hali yake ilizidi kuwa mbaya.

Tazama sura Nakili

Marko 5:26
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka thenashara,

bassi aliposikia khabari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake;

Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu tangu miaka thenashara, aliyegharimu vitu vyote alivyo navyo akawapa tabibu asipate kuponywa na mtu aliye yote,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo