Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka thenashara,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Hapo palikuwa na mwanamke aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Hapo palikuwa na mwanamke aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na miwili.

Tazama sura Nakili




Marko 5:25
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akaenda pamoja nae: makutano mengi wakamfuata, wakimsongasonga.


na kuteswa mengi kwa mikono ya tabibu wengi, akagharimu vitu vyote alivyo navyo, kusimfae hatta kidogo, bali hali yake ilizidi kuwa mbaya,


Na tazama, palikuwa na mwanamke aliyekuwa na pepo wa udhaifu miaka kumi na minane: nae amepindana, asiweze kujiinua kabisa.


maana umri wake yule mtu aliyefanyiwa ishara hii ya kuponya ulipita miaka arubaini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo