Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Akaenda pamoja nae: makutano mengi wakamfuata, wakimsongasonga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Basi, Yesu akaondoka pamoja naye. Watu wengi sana wakamfuata, wakawa wanamsonga kila upande.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Basi, Yesu akaondoka pamoja naye. Watu wengi sana wakamfuata, wakawa wanamsonga kila upande.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Basi, Yesu akaondoka pamoja naye. Watu wengi sana wakamfuata, wakawa wanamsonga kila upande.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Hivyo Isa akaenda pamoja naye. Umati mkubwa wa watu wakamfuata, nao watu wakawa wanamsonga.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Hivyo Isa akaenda pamoja naye. Umati mkubwa wa watu ukamfuata, nao watu wakawa wanamsonga.

Tazama sura Nakili




Marko 5:24
12 Marejeleo ya Msalaba  

Kiisha wakaingia nyumbani; makutano wakakusanyika tena, wao wenyewe wasiweze kula hatta mkate.


akimsihi sana, akinena. Binti yangu mdogo yu katika kufa: nakuomba nje, nweke mkono wako juu yake, apate kupona, nae ataishi.


Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka thenashara,


Wanafunzi wake wakamwambia, Wawaona makutano wanavyokusongasonga, nawe wanena, Ni nani aliyenigusa?


Makutano walipokuwa wakimkusanyikia akaanza kunena, Kizazi hiki ni kizazi kibaya: chatafuta ishara: wala hakitapewa ishara illa ishara ya nabii Yunus.


HUKO nyuma mkutano wa watu, watu elfu nyingi walipokusanyika hatta wakakanyagana, akaanza kuwaambia wanafunzi wake khassa, Jihadharini na chachu ya Mafarisayo, yaani unafiki.


akatafuta kumwona Yesu, ni mtu gani, asiweze lakini kwa sababu ya makutano, maana kimo chake alikuwa mfupi.


Bassi Yesu akaenda pamoja nao. Hatta alipokuwa si mbali ya nyumba yake, yule akida akatuma rafiki kwake akimwambia, Bwana, usijisumbue,


kwa sababu ana binti, mwana wa pekee, umri wake amepata miaka thenashara, nae yu katika kufa. Na katika kwenda kwake makutano wakamsonga.


Yesu akasema, Ni nani aliyenigusa? Bassi watu wote walipokana, Petro nao walio pamoja nae wakamwambia, Bwana, Makutano wanakuzunguka na kukusonga, nawe unasema, Ni nani aliyenigusa?


khabari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na uguvu: nae akatembea huko na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Shetani; kwa maana Mungu alikuwa pamoja nae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo