Marko 5:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Hatta Yesu alipokwisha kuvuka kurudia ngʼambu katika kile chombo, wakamkusanyikia makutano mengi: nae alikuwa kando ya bahari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Yesu alivukia tena upande wa pili wa ziwa kwa mashua. Umati mkubwa wa watu ukakusanyika mbele yake, naye akawa amesimama kando ya ziwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Yesu alivukia tena upande wa pili wa ziwa kwa mashua. Umati mkubwa wa watu ukakusanyika mbele yake, naye akawa amesimama kando ya ziwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Yesu alivukia tena upande wa pili wa ziwa kwa mashua. Umati mkubwa wa watu ukakusanyika mbele yake, naye akawa amesimama kando ya ziwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Isa alipokwisha kuvuka tena na kufika ng’ambo, umati mkubwa wa watu wakamzunguka hapo kando ya bahari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Isa alipokwisha kuvuka tena na kufika ng’ambo, umati mkubwa wa watu ukamzunguka yeye akiwa hapo kando ya bahari. Tazama sura |