Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 5:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Akaenda zake, akaanza kukhubiri katika Dekapoli, ni mambo gani makuu Yesu aliyomtendea; watu wote wakataajabu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Basi, huyo mtu akaenda, akaanza kutangaza huko Dekapoli mambo yote Yesu aliyomtendea; watu wote wakashangaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Basi, huyo mtu akaenda, akaanza kutangaza huko Dekapoli mambo yote Yesu aliyomtendea; watu wote wakashangaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Basi, huyo mtu akaenda, akaanza kutangaza huko Dekapoli mambo yote Yesu aliyomtendea; watu wote wakashangaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Yule mtu akaenda zake, akaanza kutangaza katika Dekapoli mambo makuu Isa aliyomtendea. Nao watu wote wakastaajabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Yule mtu akaenda zake, akaanza kutangaza katika Dekapoli mambo makuu Isa aliyomtendea. Nao watu wote wakastaajabu.

Tazama sura Nakili

Marko 5:20
4 Marejeleo ya Msalaba  

Makutano mengi wakamfuata, wakitoka Galilaya, na Dekapoli, na Yerusalemi, na Yahudi, na ngʼambu ya Yordani.

Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.

Akatoka tena katika mipaka ya Turo akapita katikati ya Sidon, akaenda hatta bahari ya Galilaya, kati ya mipaka ya Dekapoli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo