Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 5:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Na alipokwisha kushuka chomboni, marra akakutwa na mtu ambae ametoka makaburini, nae ana pepo mchafu, makao yake yalikuwa pale makaburini:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Mara tu Yesu aliposhuka mashuani, mtu mmoja aliyepagawa na pepo mchafu alitoka makaburini, akakutana naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Mara tu Yesu aliposhuka mashuani, mtu mmoja aliyepagawa na pepo mchafu alitoka makaburini, akakutana naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Mara tu Yesu aliposhuka mashuani, mtu mmoja aliyepagawa na pepo mchafu alitoka makaburini, akakutana naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Isa alipotoka kwenye mashua, mara mtu mmoja mwenye pepo mchafu akatoka makaburini, akakutana naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Isa alipotoka kwenye mashua, mara mtu mmoja mwenye pepo mchafu akatoka makaburini akakutana naye.

Tazama sura Nakili




Marko 5:2
13 Marejeleo ya Msalaba  

Palikuwapo katika sunagogi yao mtu mwenye pepo mchafu; akapaaza sauti,


Yule pepo mchafu akamrarua, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.


kwa vile walivyonena, Ana pepo mchafu.


Akawaambia wanafunzi wake ya kama chombo kidogo kikae karibu nae, kwa sababu ya makutano, wasije wakamsonga.


AKAANZA kufundisha tena kando ya bahari. Wakamkusanyikia mkutano mkuliwa, hatta yeye akapanda chomboni, akakaa baharini; mkutano wote ulikuwako katika inchi kavu kando ya bahari.


Wakawaacha makutano, wakamchukua vile vile katika chomho kile kile. Na vyombo vingine vilikuwako pamoja nae.


Hatta Yesu alipokwisha kuvuka kurudia ngʼambu katika kile chombo, wakamkusanyikia makutano mengi: nae alikuwa kando ya bahari.


wala hakuna mtu aliyeweza kumfunga, hatta kwa minyororo:


Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu.


Kwa sababu mwanamke, ambae binti yake yuna pepo mchafu, alisikia khabari zake, akaja akamwangukia miguu.


Hatta aliposhuka pwani, alikutwa na udu mmoja wa mji ule, aliyekuwa ua pepo siku nyingi, nae kwa muda mrefu alikuwa havai nguo, wala hakai nyumbani illa makaburini.


Alipokuwa katika kumwendea, yule pepo akambwaga akamraruararua. Yesu akamkaripia yule pepo mchafu, akamponya yule mtoto, akamrudishia baba yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo