Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 5:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Yesu hakumrukhusu, bali alimwambia, Enenda zako nyumbani kwako, kwa watu wa kwenu, kawakhubiri ni mambo gani makuu aliyokutendea Bwana, na jinsi alivyokurehemu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Lakini Yesu akamkatalia. Badala yake akamwambia, “Nenda nyumbani kwa jamaa yako, ukawaambie mambo yote Bwana aliyokutendea na jinsi alivyokuonea huruma.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Lakini Yesu akamkatalia. Badala yake akamwambia, “Nenda nyumbani kwa jamaa yako, ukawaambie mambo yote Bwana aliyokutendea na jinsi alivyokuonea huruma.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Lakini Yesu akamkatalia. Badala yake akamwambia, “Nenda nyumbani kwa jamaa yako, ukawaambie mambo yote Bwana aliyokutendea na jinsi alivyokuonea huruma.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Isa hakumruhusu, bali alimwambia, “Nenda nyumbani kwa jamaa yako ukawaeleze mambo makuu aliyokutendea Mwenyezi Mungu, na jinsi alivyokuhurumia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Isa hakumruhusu, bali alimwambia, “Nenda nyumbani kwa jamaa yako ukawaeleze mambo makuu aliyokutendea Mwenyezi Mungu, na jinsi alivyokuhurumia.”

Tazama sura Nakili

Marko 5:19
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akaenda zake, akaanza kukhubiri katika Dekapoli, ni mambo gani makuu Yesu aliyomtendea; watu wote wakataajabu.

Rudi nyumbani kwako, ukayakhubiri mambo makuu aliyokutendea Mungu. Akaenda zake, akikhubiri katika mji mzima mambo makuu ambayo Yesu amemtendea.

Njoni, nitazame mtu aliyeniambia mambo yote niliyoyatenda. Je! haimkini huyu kuwa ndiye Kristo?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo