Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 5:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Alipokuwa akipanda chomboni, yule aliyekuwa na pepo akamsihi awe pamoja nae:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Yesu alipokuwa anapanda mashuani, yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo akamwomba amruhusu kwenda naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Yesu alipokuwa anapanda mashuani, yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo akamwomba amruhusu kwenda naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Yesu alipokuwa anapanda mashuani, yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo akamwomba amruhusu kwenda naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Isa alipokuwa anaingia kwenye mashua, yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu akamsihi Isa waende pamoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Isa alipokuwa anaingia kwenye mashua, yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu akamsihi Isa waende pamoja.

Tazama sura Nakili

Marko 5:18
10 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.

Wakamwendea Yesu, wakamwona yule mwenye pepo, ameketi, amevaa nguo, ana akili zake, nae ndiye aliyekuwa na ile legione; wakaogopa.

Nao walioona wakaeleza ni mambo gani yaliyompata yule mwenye pepo, na khabari za nguruwe.

Wakaanza kumsihi atoke katika mipaka yao.

akalia kwa sauti kuu akanena, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakusihi, uniapie kwa Mungu kwamba hutaniadhibu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo