Marko 5:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192117 Wakaanza kumsihi atoke katika mipaka yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, wakaanza kumwomba aondoke katika nchi yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, wakaanza kumwomba aondoke katika nchi yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, wakaanza kumwomba aondoke katika nchi yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Basi watu wakaanza kumwomba Isa aondoke katika nchi yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Basi watu wakaanza kumwomba Isa aondoke katika nchi yao. Tazama sura |