Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 5:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Nao walioona wakaeleza ni mambo gani yaliyompata yule mwenye pepo, na khabari za nguruwe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Watu walioshuhudia tukio hilo wakawaeleza wengine mambo yaliyompata huyo mtu aliyekuwa amepagawa na pepo na juu ya wale nguruwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Watu walioshuhudia tukio hilo wakawaeleza wengine mambo yaliyompata huyo mtu aliyekuwa amepagawa na pepo na juu ya wale nguruwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Watu walioshuhudia tukio hilo wakawaeleza wengine mambo yaliyompata huyo mtu aliyekuwa amepagawa na pepo na juu ya wale nguruwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Wale walioyaona mambo hayo wakawaeleza watu wengine yaliyomtokea yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu, na habari za lile kundi la nguruwe pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Wale walioyaona mambo hayo wakawaeleza watu wengine yaliyomtokea yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu, na habari za lile kundi la nguruwe pia.

Tazama sura Nakili

Marko 5:16
4 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.

Hatta wale walipokuwa wakitoka, wakamletea mtu bubu mwenye pepo.

Wakamwendea Yesu, wakamwona yule mwenye pepo, ameketi, amevaa nguo, ana akili zake, nae ndiye aliyekuwa na ile legione; wakaogopa.

Alipokuwa akipanda chomboni, yule aliyekuwa na pepo akamsihi awe pamoja nae:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo